Fredy Anthony Njeje wa Tone Media ame Publish Journal kwa wanafunzi wa Elimu ya Juu.

 Haghshenas, H., Aminaei Chatroudi, E., & Njeje, F. (2012). Does Educational Level Matter in Adopting Online Education? A Malaysian Perspective. Journal of Marketing for Higher Education, 22(1), 117-151
Fredy Anthony Njeje
---
Kwanza kabisa napenda kuwasalimu wadau wote mliopo popote Duniani, Kwa mara ya kwanza kabisa kwa Heshima na taadhima, napenda kuchukua nafasi hii ya pekee kabisa kuwatambulisha kwenu Publication yangu ya kwanza kabisa ya Journal kwa wanafunzi wa Elimu ya juu, ambapo nimeshirikiana na wadau wawili kutoka Iran majina yao mtayaona hapo chini. Hii ni moja ya hatua kwetu kupeana changamoto. asanteni sana. 

Kuona Journal fuata link hiiwww.tandfonline.com/

Kwa mawasiliano.
Fredy Anthony Njeje

Post a Comment

Previous Post Next Post