
Leo
Ankal anatimiza miaka kadhaa tangu kuzaliwa kwake, HISIA ZA MWANANCHI BLOG
inamtakia kila lakheri yeye na Familia yake. Mungu amjalie Hekima na
Busara zaidi katika maisha yake yote na amzidishie miaka mingine
teele,azidi kumpa afya njema,na kubwa zaidi azidi kuzibariki kazi za
mikono yake daima.Ankal happy besdei tu you,ingawaje umetubania kitu
cha keki pale kati.
Post a Comment