KAA MKAO WA KULA - HISIA ZA MWANANCHI

Wapenzi wa movies kaeni mkao wa kula.Hisia za Mwananchi imeandaa kipengele ambacho kitakuwa kinakuletea MOVIES mbali mbali kutoka Majuu, Pia inapenda kuomba wasomaji wote mara baada ya mambo kuwa sawa, kutoa maoni yako,Pendekezo lako, Ungependa uipate movi gani? Movies zitakuwa mchanganyiko yaani zile zenye action(Ngumi), na zile za Story aina yeyote,(Siyo vipande, Itakuwa Movies mzima)
Pia Hisia za Mwananchi, inatoa shukrani za dhati kwa watembeleaji wa Mtandao huu
Ahsanteni sana, Karibuni tena.
Hisia za Mwananchi:- Popote tutakufikia

Post a Comment

Previous Post Next Post