MAFANIKIO YA FERUZ NI KUTOKANA NA MASHATI YA SHULE?

MAFANIKIO YA FERUZ NI KUTOKANA NA MASHATI YA SHULE?

Baada ya kupotea kwa muda katika game ya mziki, na hata watu wengine kudiriki kumzungumzia amefulia, mzee kwa kutiririka Feruz is back kwenye game, na kuonyesha still he can do it,baada ya kuachia pini linalosumbua kinoma (ndege mtini) na hata kuonyesha mafanikio yakianza kuchanua upya na kuonekana akisukuma ndinga.
si unajua binaadam siku zote tuna mitazamo tofauti,
watu wakaanza na maneno ya chinichin kuwa Feruz is back na mafaniko yake ni kutokana na kuuza madawa ya kulevya (mashati ya shule). nikaona ni bora aongee mwenyewe kuhusiana na rumors zinazotapkaa juu ya hilo
Bonyeza hapa kumsikiliza akifunguka

Post a Comment

Previous Post Next Post