MANCHESTER CITY YAILAZA 3 - 2 CHELSEA NGAO YA HISANI
Mabingwa
wa Ligi Kuu England Manchester City leo wametwaa Ngao ya Jamii baada ya
kuwafunga Mabingwa wa Ulaya, Chelsea, waliokuwa wakicheza watu 10
kuanzia Dakika ya 42, kwa bao 3 - 2 kwenye Mechi ya fungua dimba Msimu
mpya wa Mwaka 2012/13 iliyochezwa Villa Park huko Mjini Birmingham.
Chelsea
ndio walitangulia kupata bao katika Dakika ya 40 kufuatia ushirikiano
mwema kati ya Ramires na Mata kisha Fernando Torres kutikisa nyavu
Lakini
Dakika mbili baadae Refa Kevin Fiend alimtoa kwa Kadi Nyekundu Beki wa
Chelsea Ivanovic kwa kile kilichodaiwa rafu mbaya kwa Kolarov.
Kipindi cha Pili, Man City wakaibuka na kupiga bao 3 wafungaji wakiwa Yaya Toure, kwa kigongo cha Mita 20, Tevez na Nasri.Chelsea
walifufua kidogo matumaini ya kujinusuru toka kwenye kipigo pale shuti
la Sturridge lilipotemwa na Kipa Pantilimona na Bertrand kutokeza na
kufunga bao la pili na kuifanya gemu iwe 3-2 matokeo yaliyodumu hadi
mwisho.
Jumamosi Ligi Kuu England kwa Msimu wa 2012/13 ndio inaanza rasmi.
FA COMUNITY SHIELD HISTORY
DATE
|
HOME
|
SCORE
|
OPPONENT
|
08/12
|
Man Utd
|
1 – 2
|
Liverpool
|
08/11
|
Arsenal
|
1 – 0
|
Liverpool
|
08/10
|
Man Utd
|
1 – 1
|
Arsenal
|
08/08
|
Arsenal
|
3 – 1
|
Man Utd
|
08/07
|
Chelsea
|
2 – 1
|
Arsenal
|
08/13
|
Chelsea
|
1 - 2
|
Liverpool
|
08/05
|
Chelsea
|
1 – 1
|
Man Utd
|
08/10
|
Man Utd
|
0 – 0
|
Portsmouth
|
08/09
|
Chelsea
|
2 – 2
|
Man Utd
|
08/08
|
Chelsea
|
1 – 3
|
Man Utd
|
08/07
|
Man City
|
2 – 3
|
Man Utd
|
08/12
|
Chelsea
|
2 – 3
|
Man City
|
and the Top Score is LUIS NANI for Man UTD by 2 goals
Post a Comment