MBUNGE MTEMVU AGAWA MSAADA WA VYAKULA VYA SH. MIL 7.8 KWA VITUO 10 VYA YATIMA

MBUNGE MTEMVU AGAWA MSAADA WA VYAKULA VYA SH. MIL 7.8 KWA VITUO 10 VYA YATIMA

 Mbunge wa Jimbo la Temeke, Dar es Salaam, Abbas Mtemvu (kushoto), akimkabidhi Msimamizi wa Kituo cha Kulelea Yatima cha Dar Ularqam  msaada wa vyakula, katika hafla ya kutoa msaada wa vyakula kwa vikundi 10 vya kulelea Yatima, Dar es Salaam juzi. Msaada huo ulitolewa na Mfuko wa Mtemvu Foundation. Wa pili kushoto ni mke wa Mtemvu, Mariam. Wa tatu kushoto ni  mtoto wa mbunge huyo, Sitti ambaye pia alitoa sh. 100,000 kwa kila kikundi.
 Mbunge wa Jimbo la Temeke, Dar es Salaam, Abbas Mtemvu (kushoto), akiwakabidhi watoto yatima wanaolelewa katika Kituo cha Hiari, msaada wa vyakula, katika hafla ya kutoa msaada wa vyakula kwa vikundi 10 vya kulelea Yatima, Dar es Salaam juzi. Msaada huo ulitolewa na Mfuko wa Mtemvu Foundation. Wa pili kushoto ni mke wa Mtemvu, Mariam. Wa tatu kushoto ni  mtoto wa mbunge huyo, Sitti ambaye pia alitoa sh. 100,000 kwa kila kikundi.
  Mbunge wa Jimbo la Temeke, Dar es Salaam, Abbas Mtemvu (kushoto), akiwakabidhi watoto yatima wanaolelewa katika Kituo cha Hiari, msaada wa vyakula, katika hafla ya kutoa msaada wa vyakula kwa vikundi 10 vya kulelea Yatima, Dar es Salaam juzi. Msaada huo ulitolewa na Mfuko wa Mtemvu Foundation. Wa pili kushoto ni mke wa Mtemvu, Mariam. Wa tatu kushoto ni  mtoto wa mbunge huyo,Sitti ambaye pia alitoa sh. 100,000 kwa kila kikundi
   
     Mtemvu akitoa msaada kwa Kituo cha Faraja
Mtemvu akitoa msaada wa vyakula Kituo cha Upendo. (PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA

Post a Comment

Previous Post Next Post