MICAH RICHARDS NJE WIKI 10 - MAN CITY
Micah Richards aliuami Olimpiki
|
KOCHA
Roberto Mancini amepata pigo lingine akijiandaa kuingi kwenye msimu
mpya, kufuatia kuumia kwa beki wake, Micah Richards ambaye anatakiwa
kuwa nje ya Uwanja kwa wiki 10.
Beki
huyo wa Manchester City aliuamia wakati anaichezea Uingereza katika
Michezo ya Olimpiki, mwaka huu Jijini London. Kocha huyo wa City,
alisema beki huyo wa kulia alitakiwa kuwa nje ya Uwanja kwa mwezi
mmoja.
Post a Comment