SIMBA B' KUSHIRIKI MICHUANO YA SUPER 8
TIMU
ya Vijana ya Simba ndiyo itakayoshiriki katika michuano maalum ya Banc
ABC Super 8 inayotarajiwa kuanza kutimua vumbi Agosti 4 hadi 18 kwa
kushirikisha timu nane kutoka Tanzania bara na Visiwani.
Simba imaemua kuipeleka timu ya vijana kutokana na timu ya wakubwa kuwa katika programu nyingine kwa kipindi hicho. Na:- http://dinaismail.blogspot.com/
Hata hivyo taarifa hizo ni taarifa za awali lakini huenda mambo yakabadilika baada ya viongozi wa Simba kukutana na TFF pamoja na waandaaji wa michuanio hiyo kuzungumzia mustakabali mzima wa michuano hiyo yenye lengo la kuzinoa timu hizo kabla ya kushiriki katika ligi kuu bara.
Banc ABC imeingia mkataba wa miaka mitatu kwa ajili ya kudhamini michuano hiyo itakayikuwa ikipigwa katika viwanja vya Sheikh Amri Abeid-Arusha, CCM Kirumba-Mwanza, Taifa-Dar es Salaam na Amaan -Zanzibar

Post a Comment