Kikosi cha timu ya Simba B ambacho kilishuka dimbani hii leo katika
uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kumenyana na Mtibwa Suger ya
turiani katika fainali za ABC Super8 Cup 2012 na kuwakimbiza wakata Miwa
hao wa turiani kwa magoli 4-3.
Simba
iliwalazimu kutumia dakika 120 kuwararua wakata Miwa hao walikuwa
wabishi kuwadhibiti Simba hao watoto walio kuwa wakiwatimua kila mara na
mapanga yao ya kukatia miwa.
Kwa
matokeo hayo sasa Simba inakuwa timu ya kwanza kunyakua kombe hilo
kwani ndio mara ya kwana kushindaniwa hapa nchini. simba pia iliwatoa
Azam FC katika michuano ya Bank ABC Super8 nusu fainali kwa goli 2-1
katika mchezo huo.
Post a Comment