USAJILI KAMILI WA COASTAL UNION SC KWA MSIMU WA 2012/13

Profile PictureUSAJILI KAMILI WA COASTAL UNION SC KWA MSIMU WA 2012/13

MAKIPA;
Juma Mpongo, Abraham Chove na Rajabu Kaumba

MABEKI;
Said Sued (nahodha), Mbwana Kibacha, Othman Omary, Juma Jabu, Ismail Suma, Jamal Machelenga, Cyprian Lukindo na Philip Mugenzi

VIUNGO;
Jerry Santo, Razak Khalfan, Mohamed Binslum, Khamis Shango, Mohamed Issa, Mohamed Soud, Suleiman Kassim Selembe, Lameck Dayton, Joseph Mahundi, Aziz Gilla na Shaffih Kaluani

WASHAMBULIAJI;
Nsa Job Mahinya, Atupele Green, Danny Lianga na Pius Kisambale

BENCHI LA UFUNDI;
Kocha Mkuu: Juma Mgunda
Kocha Msaidizi: Habibu Kondo
Kocha wa Viungo: Ally Jangalu
Kocha wa Makipa: Bakari Shime

Post a Comment

Previous Post Next Post