Hii
ni sehemu ya pili ya uchunguzi wetu juu ya UCHAFU unaofanywa na
wasanii wetu hapa nchini ambao siku zote wanajiita ni "VIOO VYA JAMII".....
Kama hukubahatika kuisoma sehemu ya kwanza ya uchunguzi huu basi << BOFYA HAPA >>
Katika ripoti iliyotangulia nilieza jinsi wasanii wetu wanavyochangia kuporoka kwa maadili hapa nchini kwa KUCHEZA NUSU UCHI ,KUVAA KIHASARA na KUFANYA MAPENZI HADHARANI AU CHOONI......
Inasikitisha sana kuona kuwa hapa Tanzania kuna madanguro ya kucheza nusu uchi na serikali inajifanya haioni.....
Katika
kumbi hizo, MWANAMKE hutumika kama MTAJI.Nasema hivyo kwa maana moja
tu kuwa, Wanawake HUCHEZA UCHI LIVE.......huku WANAUME
WAKISHANGILIA.....
Wakiwa stejini, wanawake hujifunga nguo moja tu ambayo huachiwa wakiwa kazini na kila kitu kubaki hadharani.......INASIKITISHA.
Kinachoniuma zaidi ni kuwa hata watoto wadogo wakiwemo wanafunzi huingia katika kumbi hizo.......
NAOMBA NISISEME MENGI....
HAPO CHINI NIMEWEKA MOJA YA VIDEO INAYOONESHA UCHAFU WA WASANII WETU HAPA NCHINI.......
ILI KUIONA, BOFYA " KITUFE CHA PLAY"
Post a Comment