VITENDO VYA KUJILEGEZA NA KUVAA KIHASARA VYAMPONZA BABY MADAHA NA KUMFANYA ACHEZEWE MAKALIO YAKE HADHARANI


STAA wa filamu na Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha (pichani) amesababisha msala baada ya kushikwa kalio mbele ya meneja wake, Mercey Kayuni

Mpekuzi  wetu alilinasa tukio hilo lililojiri wikiendi iliyopita kwenye Baa ya Uhuru Peak, Kinondoni, Dar.
 
Wakati Baby akiwa amepozi na meneja wake huyo wakibadilishana mawazo, ghafla njemba moja ilikatiza jirani na staa huyo kisha kujifanya kumfahamu na kupitisha mkono kisha kumshika shika makalio  yake , jambo lililosababisha mshikemshike wa vita ya maneno hadi walipotulizwa.

Hata hivyo suala hilo limezua   maswali mengi  miongoni mwa walioshuhudia  sakata hilo  huku wengi  wakidai kuwa   Kujilegeza,   na kuvaa kihasara ndiko kulikopelekea   kushikwa  shikwa makalio  yake.

"Wamezidi  kututega  wash*****  hao. Hii ndo  dawa  yao"....Alisikika mtu mmoja akiongea

Post a Comment

Previous Post Next Post