HUYU NDIO ALIYEACHIWA MIKOBA NA KANUMBA LEO NA HII NI KAZI YAKE YA KWANZA
Hisia0
hii ni filamu mpya toka kampuni ya Kanumba inayokwenda kwa jina la
malaika iliyotungwa na seth kwa kushirikiana na Rose ndauka na kuongozwa
na Zakayo Magullu.
Muda si mrefu itakuwa sokoni, tafadhali kaa mkao wa kuburudika
Post a Comment