Rais
Jakaya Kikwete na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania,
Philippe Dongier, wanatarajia kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa
barabara ya Mradi wa mabasi yaendayo kasi jijini Dar es Salaam.
Kwamujibu
wa Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari nchini, inasema uwekaji wa
jiwe hilo la Msingi utafanyika eneo la Jangwani jijini Dar es Salaam
kuanzia majira ya saa mbili asubuhi.
Post a Comment