| Juma Mgunda akiokolewa na polisi kuondoka uwanjani kwa amani baada ya mechi ya Bandari |
Baada ya kunusurika kupigwa na mashabiki
katika mechi ya kirafiki dhidi Bandari ya Mombasa, na kuendelea kupewa
presha kubwa na mashabiki wa timu yake ya Coastal Union hatimaye kocha
wa klabu hiyo yenye maskani yake jijini Tanga Juma Mgunda ametangaza
kujiuzulu kuifundisha timu hiyo baada kuiongoza timu kwenye mechi
zisizozidi nne kwenye ligi kuu ya Tanzania bara.
Mgunda ambaye alipewa kibarua cha kuifundisha Coastal Union kipindic ha kiangazi kilichopita amesema ameamua kujiuzulu kutokana na presha kubwa anayopewa mashabiki kiasi cha wengine kutishia usalama wake.
Mgunda ameiongoza Coastal katika mechi 3 za ligi, akishinda moja na wakitoa suluhu mechi mbili.

Post a Comment