Mjumbe wa kamati ya usalama barabarani ambaye pia ni afisa uhusiano manispaa ya Ilala Bi.Tabu Shaibu akipokea cheti cha utendaji kazi kutoka kwa mkuu wa wilaya Ilala Raymond Mushi mara baada ya kufunga maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani yaliofanyika katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es salaam jana

Mwakishi
kutoka kampuni ya bia Serengeti Bw.Raymond Samwel akipokea cheti
kutoka kwa mkuu wa wilaya Ilala Raymond Mushi maadhimisho ya wiki ya
nenda kwa usalama barabarani yaliofanyika katika viwanja vya mnazi
mmoja jijini Dar es salaam jana (wapili kutoka kulia) ni diwani wa kata
ya Upanga Sultan Salim (wa tatu kulia)kaimu mwenyekiti wa kamati
usalama barabarani Bw.Jeremia Makorere(wa kwanza kushoto)Stafu ofisa
kamanda maalum usalama barabarani Marry Claudi

Mkuu
wa wilaya Ilala Raymond Mushi kushoto)akipata maelezo kutoka kwa
mwakilishi wa kampuni ya bia Serengeti Bw. Raymond Samwel
alipotembelea banda hilo wakati wa maadhimisho ya wiki ya nenda kwa
usalama barabarani yaliofanyika katika viwanja vya mnazi mmoja jijini
Dar es salaam yaliyofungwa jana (katikati) mwakilishi wa kampuni ya bia
serengeti Bi.Catherine Peter(wakwanza kulia mwakilishi wa kampuni hiyo
Bi.Hellen David.
Waendesha
pikipiki bodaboda wakiwasili katika viwanja vya mnazi mmoja wakati wa
wiki ya nenda kwa usalama barabarani iliyofungwa rasmi jana
Hiki
ndiyo cheti cha kampuni ya bia serengeti ambacho Baraza la Usalama
Barabarani limeipatia kutambua mchango wao katika mapamano ya kuelimisha
na kupambana na ajali za barabarani.

Post a Comment