Kesho ndio Siku ya mwisho kwa Wakenya kutumia Simu Fake a.k.a Simu za Mchina


Wenzetu Wakenya wameamua kuzipiga marufuku Simu za mchina nchini mwao kuanzia kesho...Wale wote wenye Simu fake kuanzia kesho hawata pata Network kwenye Simu zao hivyo kuwa Useless...Je Tanzania Ina Mpango huo ?

Post a Comment

Previous Post Next Post