(VIDEO/PICHA)MAANDAMANO YA WAISLAMU JIJI LA DAR WAKILAANI FILAMU INAYOMKASHIFU MTUME HAYA HAPA

Waislamu wakinyanyua mikono kulaani  filamu ya kumkashifu Mtume Muhammad na kuitaka serikali itoe tamko la kulaani, Leo katika mkutano uliofanyika kwenye viwanja vya Kidongo Chekundu, Mnazi Mmoja, Dar es Salaam.Mmoja wa wailsamu akionesha hisia zake wakati wa mkutano.
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, akitangaza maazimio katika mkutano huo.Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia walinda usalama wakati wa mkutano huo.
VIDEO:-

Post a Comment

Previous Post Next Post