
Msemaji wa kike wa Didier Drogba, amesema mshambuliaji huyo wa
zamani wa Chelsea hajatemwa na klabu yake, Shanghai Shenhua ya China
baada ya miezi miwili na nusu ya kuwa na timu hiyo.
Manchester City ilihofia kutumia fedha nyingi katika usajili kwa
sababu ya sheria ya Shirikisho la Soka Ulaya (UEFA) juu ya matumizi ya
fedha kiungwana.
Real Madrid itakuwa na uamuzi wa kwanza wa kumsajili winga wa
Tottenham, Gareth Bale ikiwa Spurs itaamua kumuuza mchezaji huyo wa
kimataifa wa Wales.
Post a Comment