MANJI AKUTANA FARAGHA NA WZEE NA JANGWANI

Mwenyekiti wa Yanga, Yussuf Manji akizungumza na Wazee wa klabu hiyo mida hii, makao makuu ya klabu, makutano ya mitaa ya Twiga na Jangwani, Dar es Salaam. Kueleka mchezo na Simba Oktoba 3, mwaka huu, tayari Manji amekutana na wachezaji, Matawi na Vijana kujadiliana nao mambo mbalimbali ya kufanikisha ushindi.




 
Picha na Bin Zubeiry

Post a Comment

Previous Post Next Post