Jesca Haule
(18)
|
Kuelekea shindano
la Miss Temeke 2012, http://bongostaz.blogspot.com/ jioni hii imetembelea
kambi ya warembo katika ukumbi wa TCC Club, Chang’ombe na kuwakuta wakiendelea
na mazoezi chini ya mwalimu wao Leila Bhanji, tayari kwa show hiyo inayoletwa
kwenu na BMP Promotions, chini ya Mkurugenzi wake, Benny Kisaka ambayo
itafanyika Ijumaa wiki hii kwenye ukumbi wa PTA. Cheki bakora hizo.
Lilian Joseph
(20)
|
Neema Doreen
(20)
|
Zulfa Bundala
(21)
|
Esther Albert
(19)
|
Agness Goodluck
(20)
|
Flaviana Maeda
(22)
|
Elizabeth Peter
(21)
|
Miriam
Ntakisivya (21)
|
| Miss Temeke namba 2 wa mwaka 2010, Cynthia Kimasha, akiwapa uzoefu washiriki wa Miss Temeke 2012 |
Elizabeth Bonigace
(19)
|
| Mwalimu wao, Leilla Bhanji |
Angel Gasper
(19)
|
Post a Comment