Ki umri anaonekana ni mdogo lakini kimatendo anaonekana ni mtu mzima.
Dalili zinaonesha kuwa hana dalili ya
kujuta hata kidogo kwa sababu hata ukimwangalia amekaa katika mkao wa
kupiga picha.......kwa hiyo ilikuwa ni ridhaa yake

Huenda ilikuwa ni zawadi kwa mpenzi
wake....lakini ni ukweli usiopingika kuwa hakuna zawadi za picha za
utupu maana watu si waaminifu........
Mkizinguana tu, picha zinazagaa mitandaoni. kuweni makini akina dada zetu
Picha za utupu hazina uhusiano wowote kwa mpenzi wako....kama anakupenda,hawezi kukudhalilisha kwa kukupiga ukiwa mtupu
Picha za utupu hazina uhusiano wowote kwa mpenzi wako....kama anakupenda,hawezi kukudhalilisha kwa kukupiga ukiwa mtupu
Post a Comment