VIDEO YA YVONNE MWALE - FAMILIA YANGU HII HAPA

 

Yule msanii aliye shirikishwa na Rapper Fid Q kwenye Sihitaji Marafiki Yvonne Mwale ametoa wimbo wake wakwanza alioimba kwa lugha ya Kiswahili .Wimbo Unaitwa Familia Yangu na Hiii Ndio Video Yake 


Post a Comment

Previous Post Next Post