HATARI:- AIBU MENEJA WA BENKI APIGA PICHA ZA AJABU OFISINIPicha hapo juu zinamwonyesha mwanamke mmoja ambae ni  meneja katika taasisi flani  ya kifedha,Mwanamke huyo ana tuhumiwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wafanyakazi wake wawili.


Baada ya mfanyakazi mmoja kugundua kuwa bosi wake anatoka na mfanyakazi mwingine ambae ni rafiki yake wa karibu ,ndipo jamaa aliyekuwa wa kwanza kuwa na mahusiano na bosi huyo alianzisha ugomvi mkubwa kutokana na wivu wa kimapenzi hatimaye ugomvi huo ukasababsha uhusiano wa kimapenzi kati yake na bosi huyo uvunjike.

Baada ya mfanyakazi mmoja kugundua kuwa bosi wake anatoka na mfanyakazi mwingine ambae ni rafiki yake wa karibu ,ndipo jamaa aliyekuwa wa kwanza kuwa na mahusiano na bosi huyo alianzisha ugomvi mkubwa kutokana na wivu wa kimapenzi hatimaye ugomvi huo ukasababsha uhusiano wa kimapenzi kati yake na bosi huyo uvunjike


7 comments:

 1. wanajiuza 2 hao

  ReplyDelete
 2. Km mkeo huyu unakata kichwa..km anawatoto wakiziona picha hizi atasemaje...!mmmh

  ReplyDelete
 3. This comment has been removed by the author.

  ReplyDelete
 4. This comment has been removed by the author.

  ReplyDelete