Afisa
Mawasiliano wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA),Vincent Mbirika
(kulia) akizungumza jambo na wasanii wa Muziki wa kizazi kipya,Nasseb
Abdul maarufu kama Diamond (katikati) na Linah Sanga waliotembelea
Hifadhi hiyo ili kuhamasisha wananchi walipigie kura Bonde la Ngorongoro
lishinde katika maajabu saba ya Afrika.
Nasseb
Abdul maarufu kwa jina la Diamond (kushoto) akiwa na msanii mwenzake
Linah Sanga wakiangalia wanyama ndani ya Bonde la Ngorongoro lililopo
kwenye Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) ili kuhamasisha wananchi
walipigie kura Bonde la Ngorongoro lishinde katika maajabu saba ya
Afrika.
Picha na woinde shizza,ngorongoro
Picha na woinde shizza,ngorongoro
Post a Comment