Kiongozi wa Cuba mwenye umri wa miaka 86 Fidel Castro, ameripotiwa kuwa
mgonjwa sana, hawezi kula, kuongea, kuinuka wala kutambua ndugu, jamaa
na marafiki wa karibu yoyote. Fidel Castro anasumbuliwa na embolic
stroke na hali yake inasemekana sio nzuri kabisa.
Hapa ndio ilikua mara ya mwisho kwa wananchi kumuona Fidel Castro live, alipokuja Pope kumpa hi
Dr Jose Marquina ambaye ni Dr wa Castro amedai sio vyema kutabiri hali
ya mgonjwa lakini kwa anavyomuona Fidel hana muda mrefu kabisa,
amekadiria na kusema ''few weeks''. Marquina amasema sio rahisi
wananchi kumuona Castro tena in Public kama hapo awali. Na kwa mujibu wa
records kwa mara ya mwisho Fidel Castro kuonekana nje (in Public)
ilikua March mwaka huu wakati Pope Benedict XVI alipotembelea Cuba
Post a Comment