![]() |
Mjengo mpya wa Naomi Campbell Jijini Moscow, aliojengewa na bwana ake Mrusi, Vladislav Doronin unavyoonekana |
BILIONEA Mrusi anayemmiliki Naomi
Campbell amedhihirisha mapenzi yake mazito kwa mwanamitindo huyo kwa
kumjenga nyumba mpya kaloi mjini Moscow, Urusi.
Na si nyuma tu mradi nyumba, ni nyumba ambayo inaonekana kama Meli. Hebu tazama picha za mjengo wenyewe.

Cheki kitu hicho

Kwa ndani

Upande wa pili kwa nje unavyoonekana

Nyumba hiyo ina gym, pool na spa

Cheki kitu hicho

Mambo ya fedha

Fedha ni noma

Ntumba ya familia

Kwa mbali kitu kinavyoonekana


Akiwa staili ya Bond: Skyfall akiwa na mpenzi wake Naomi Jijini London wiki hii
SOURCE: http://www.dailymail.co.uk
Post a Comment