Baadhi ya wafanyakazi wa Airtel wa kitengo cha huduma kwa wateja wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja iliyofanyika katika makao makuu ya Airtel jijini Dar es saalam.
Mkuu wa kitengo cha huduma kwa wateja Adrian Lyamba (katikati) akiwaongeza wafanyakazi na wateja wa Airtel kukata Keki wakati wa uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja ambapo Airtel imejumuika na wateja wake katika kusherehekea na kutaka keki pamoja na kuwashukuru kwa kutumia mtandao wa Airtel
Mkuu wa kitengo cha huduma kwa wateja Adrian Lyamba akimlisha keki moja ya wateja aliyetembelea katika duka la Airtel lilolopo Moroco jijini Dar es saalam wakatii wa ufunguzi wa wiki ya huduma kwa wateja ambapo Airtel imefungua wiki ya huduma kwa wateja wiki nzima kwa kusherehekea na kuwashukuru wateja wake nchi nzima. Halfa hiyo imefanyika katika makao makuu ya Airtel jijiini Dar es saalam
Mmoja wa wateja akimlisha keki Mkuu wa kitengo cha huduma kwa wateja Adrian Lyamba wakati wa uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja iliyofanyika katika makao makuu ya Airtel jijini Dar es salaam.
Wafanyakazi wa Airtel wakitoa huduma ya internet kwa a wateja waliotembea katika duka la Airtel lilipo Moroco jijini Dar es saalm ambapo Airtel leo imesheherekea uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja na kuwashukuru wateja wake kwa kutumia huduma na mtandao wa Airtel
Mfanyakazi wa huduma kwa wateja Atupiana Msuya akigawa vinywaji kwa baadhi ya wateja waliohudhuria uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja iliyofanyika katika makao makuu ya Airtel jijini Dar es salaam
Mkuu wa kitengo cha huduma kwa wateja Adrian Lyamba akiwakabidhi wateja walioko kwenye magari vipeperushi vyenye maelezo kuhusu bidhaa za Airtel wakati wa uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja uliofanyika leo
Post a Comment