
Hili
ni moja ya Gari lililobeba wanajeshi ambao walikua doria wakati
waandamaji waripoleta vurugu na kusababisha vurugu na mabomu ya machozi
kulindima kwenye baadhi ya maeneo kama vile Kariakoo na Posta.Tuendeleee
kuvuta subira...

Msafara wa magari ya JWTZ yakielekea tuliza Vurugu

Yakiwa yanaelekea eneo la Tukio

Picha hii ya Tamko kwa hisani ya Mo Blog
Post a Comment