Rais Jakaya Mrisho Kikwete akioneshwa na Mchungaji Alkwin Mbawi
uharibifu mkubwa uliofanywa kwenye kanisa la Pentekoste la Mbagala
jijini Dar es salaam wakati wa vurugu za Waislamu Ijumaa iliyopita
kufuatia habari kuwa kuna mtoto amekojolea Msahafu
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akioneshwa na Askofu Msaidizi
wa Kanisa la Kiinjili la Kirutheli Dayosisi ya Dar es salaam na Pwani
Mkosimonga uharibifu mkubwa uliofanywa kwenye kanisa hilo huko Mbagala

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia uharibifu mkubwa ulkiofanywa
katika kanisa la Pentekoste la Mbagala jijini Dar es salaam wakati wa
vurugu za Waislamu Ijumaa iliyopita kufuatia habari kuwa kuna mtoto
amekojolea Msahafu
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa pole kwa baadhi ya waumini
wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam kufuatia uharibifu
mkubwa uliofanywa kwenye kanisa hilo huko Mbagala jijini Dar es salaam
wakati wa vurugu za Waislamu Ijumaa iliyopita kufuatia habari kuwa kuna
mtoto amekojolea Msahafu
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akioneshwa na Katibu wa Kanisa
la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam Bw. M Mkosimonga uharibifu
mkubwa uliofanywa kwenye kanisa hilo huko Mbagala jijini Dar es salaam
wakati wa vurugu za Waislamu Ijumaa iliyopita kufuatia habari kuwa kuna
mtoto amekojolea Msahafu
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akioneshwa na Katibu wa Kanisa la
Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam Bw. M Mkosimonga uharibifu mkubwa
uliofanywa kwenye kanisa hilo huko Mbagala jijini Dar es salaam wakati
wa vurugu za Waislamu Ijumaa iliyopita kufuatia habari kuwa kuna mtoto
amekojolea Msahafu
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akioneshwa na Askofu Msaidizi
wa Kanisa la Kiinjili la Kirutheli Dayosisi ya Dar es salaam na Pwani
Mkosimonga uharibifu mkubwa uliofanywa kwenye kanisa hilo huko Mbagala
jijini Dar es salaam wakati wa vurugu za Waislamu Ijumaa iliyopita
kufuatia habari kuwa kuna mtoto amekojolea Msahafu
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akioneshwa na Katibu wa Kanisa la
Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam Bw. M Mkosimonga uharibifu mkubwa
uliofanywa kwenye kanisa hilo huko Mbagala jijini Dar es salaam wakati
wa vurugu za Waislamu Ijumaa iliyopita kufuatia habari kuwa kuna mtoto
amekojolea Msahafu
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akioneshwa na Mchungaji Alkwin
Mbawi uharibifu mkubwa uliofanywa kwenye magari yaliyokuwa yameegeshwa
ndani ya kanisa la Pentekoste la Mbagala jijini Dar es salaam wakati wa
vurugu za Waislamu Ijumaa iliyopita kufuatia habari kuwa kuna mtoto
amekojolea Msahafu.Picha na IKULU
Post a Comment