![]() |
| Angalia miguu: Jennifer Lopez akifurahia na marafiki Paris |

Usiku wa kupati: Mama wa miaka 43 cheki alivyokuwa anajiachia

Ooh la la: Jennifer kwa raha zake

Dogo anakula zigo: Akiwa na boyfriend wake na dansa wake, Casper Smart katika pati hilo

Dogo
akilewaa!: boyfriend wa J.lo akiwa amesimama kwenye sofa na viatu vyake
vinavyoingia chooni, wakati wenzake wanakaa...yupo jirani na mpaja wa
mama mtu mzima ovyo...

Full bata? Lopez akila raha za dunia

Alipoanza kukolea sasa! Cheki mtu mzima ovyoo anavyopati...

Anamkoromea dogo: Lopez akizungumza na boyfriend Casper Smart

Kwa raha zao: Bibi na bwana...

Bata kwa kwenda mbele: Jennifer akikata maji kama anashindana

Mapema mchana kuelekea usiku wa pati, Jennifer alionekana kibwana chqake wakifanya shopping na kabinti kake, Emme

Casper amebeba mtoto, J.lo anakula raha za dunia

Ameongozana na kabinti kaker
SOURCE: http://www.dailymail.co.uk

Post a Comment