KIJANA AJINYONGA MAENEO YA SINZA KWA REMMY, (tunaomba radhi kwa picha utakazoziona)

 Mwili wa marehemu Kassim Athuman ukiwa umening’inia baada ya kujinyonga kwa kutumia kamba ya katani chumbani kwake leo, tukio hili limetokea kwenye mtaa wa Sinza ‘E’, kata ya Sinza Wilaya ya Kinondoni amekutwa amejinyonga chumbani kwake mapema jioni ya jana.

 Shaban Athuman ambaye ni kaka wa marehemu akitoa maelezo kwa afisa polisi aliyefika kuchukua mwili wa marehemu kwa uchunguzi zaidi


 Picha ya marehemu Kassim enzi za uhai wake

ni kilio na majonzi kwa ndugu jamaa na marafiki

Post a Comment

Previous Post Next Post