![]() |
Christian Eriksen akishangilia bao la kwanza aliloifungia Ajax |
TAKWIMU ZA MECHI
VIKOSI
CHA AJAX: Vermeer, Van Rhijn, Alderweireld, Moisander, Blind, Schone
(Boerrigter 89), Poulsen, Eriksen, Sana (Enoh 74), De Jong, Babel.
BENCHI: Cillessen, Sulejmani, Veltman, Dijks, Fischer.
NJANO: Blind.
WAFUNGAJI MABAO: De Jong 45, Moisander 57, Eriksen 68.
KIKOSI
CHA MAN CITY: Hart, Richards, Kompany, Lescott (Kolarov 63), Clichy, Y
Toure, Barry (Tevez 71), Milner (Balotelli 77), Aguero, Nasri, Dzeko.
BENCHI: Pantilimon, Sinclair, Nastasic, Evans.
NJANO: Kolarov, Y Toure.
MFUNGAJI WA BAO LAO: Nasri 22.
MAHUDHURIO: 45,743.
REFA: Svein Oddvar Moen (Norway).

Niklas Moisander akiifungia Ajax's bao la pili


Moisander akishangilia bao lake muhimu

Joe Hart akishuhudia nyavu zake zikitikiswa na Siem De Jong

Samir Nasri akiifungia Man City bao la kufutia machozi

Man City wanashangilia bao lao


Micah Richards akiondosha mpira hatarini

Nasri akidhibitiwa

Mario Balotelli akishuhudia kipigo benchi
Post a Comment