MSANII wa muziki wa filamu bongo Baby Madaha, ameuambia mtandao wa DarTalk kuwa ngoma yake mpya ya ‘Nitenge’, inatarajia kuanza kusikika leo kwani ameshaisambaza kwenye vituo vingi vya redio nyimbo hiyo ikiwa inahusu mapenzi.
Msanii huyo alisema kuwa watu wengi wamekuwa wakimuona kwenye filamu sana lakini safari hii nguvu zake amezirudisha upya kwenye game la muziki ili kuwaonesha mashabiki wake kuwa bado anafanya vizuri na wala hajapotea.
“Mimi huwa nafanya ngoma ambazo hazifi ukisikiliza wimbo wangu wa ‘Amore’ hadi leo bado unafanya vizuri hivyo hata huu mpya upo hivyo na nachopenda kuwaambia mashabiki wangu ni kwamba nimekuja upya nikiwa na nguvu zaidi,” alisema.
Credit:- DarTalk

Post a Comment