Mbunge
wa Msalala, Ezekiel Maige (kushoto) akimlaki Katibu wa Halmashauri Kuu
ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye alipowasili Kahama
mkoani Shinyanga kwa ajili ya kufunga kampeni za uchaguzi mdogo wa
udiwani kata ya Bugarama, mkoani humo. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM wilaya
ya Kahama, Mabala Mlolwa.
Katibu
wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye
akisalimiana kwa furaha na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga Hamis
Mgeja walipokutana katika Kata ya Kakola, kabla ya kwenda kwenye mkutano
wa kufunga kampeni za udiwani za CCM kata ya Bugarama mkoani humo.
Katibu
wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye
akiwa katika mapokezi ya wananchi alipowasili kwenye mkutano wa kufunga
kampeni za CCM za udiwani kata ya Bugarama, Kahama mkoani Shinyanga.
Katibu
wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye
akihutubia mamia ya wananchi katika mkutano wa kufunga kampeni za CCM za
udiwani Kata ya Bugarama, Kahama mkoani Shinyanga, jana Oktoba
27.(Picha na Bashir Nkoromo).
Wananchi
katika kata ya Bugarama , Kahama mkoani Shinyanga, wakishangilia wakati
wa kufunga kampeni za CCM za uchaguzi mdogo wa udiwani katika kata
hiyo.
Pichani
Juu na Chini ni Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na
Uenezi, Nape Nnauye na Mbunge wa Msalala, Ezekiel Maige wakishiriki
kucheza ngoma ya Baswezi, katika kijiji cha Buyange, Kata ya Bugarama,
Kahama mkoani Shinyanga wakati wa mkutano wa kufunga kampeni za udiwani
za CCM kata ya Bugarama.
Madiwani
wa Kata za Kahama wakiwa na mgombea Udiwani wa CCM, Kata ya Bugarama
katika wilaya hiyo Nixon Ikoko wakati wa mkutano wa kufunga kampeni za
udiwani katika kata hiyo, uliohutubiwa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya
Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye.
Katibu
wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye
akimsikiliza kwa makini Mbunge wa Msalala, Ezekiel Maige wakati
akimuombea kura mgombea udiwani wa CCM Kata ya Bugarama, kwenye mkutano
wa kufunga kampeni za CCM uliofanyika mji mdogo wa Bugarama.
Nape Nnauye akimnadi mgombea wa Udiwani kata ya Bugarama, Nixon Igogo kwenye mkutano wa kufunga kampeni za udiwani za CCM.
Wazee
wakifuatilia kwa makini hotuba ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya
CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye alipohutubia mkutano wa kufunga
kampeni za udiwani za CCM Kata ya Bugarama, Kahama mkoani Shinyanga.
Kina
mama wakifuatilia kwa makini hotuba ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya
Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye Kata ya Bugarama , Kahama
mkoani shinyanga.
Mzee
wa miaka 98, Nickson Toma akifuatilia kwa makini mkutano wa kampeni za
udiwani Kata ya Bugarama mkoani Shinyanga uliohutubiwa na Katibu wa
Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye.
Nape Nnauye akicharaza ngoma kwenye mkutano wa kampeni za udiwani Kata ya Bugarama, Kahama mkoani Shinyanga.
Katibu
wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye
akiwa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa shinyanga, Hamis Mgeja baada ya
mkutano wa kufunga kampeni za udiwani za CCM Kata ya Bugarama mkoani
humo, jana, Oktoba 27, 2012.

Katibu
wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye
Mbunge wa Msalala, Ezekiel Maige wakiwa na watafiti wa madini kutoka
kampuni ya Majordrilling, katika kijiji cha Kakola wilayani Kahama
mkoani Shinyanga.(Picha na Bashir Nkoromo).
















Post a Comment