
Leo imefanyika imefanyika interviw kali sana kati ya SHILOLE na AUNT EZEKIEL.....
Lengo la interview hiyo lilikuwa ni
kujua msimamo wao juu ya skendo mbalimbali zinazo wakabili hasa
ikizingatiwa kuwa wao ni vioo vya jamii......
Miongoni mwa mambo ambayo tulitaka
kupekua na kujua ni pamoja na KUVAA NUSU UCHI, KUPIGA PICHA CHAFU,
KUTEMBEA NA WAUME ZA WATU, KUBADILI WANAUME KAMA NGUO, NA KUTEMBEA NA
WATOTO WADOGO AMBAO SIYO SAIZI YAO.....
Kila mmoja alikuwa na majibu yake kulingana na skendo zinazomkbili......
Wa kwanza kumuuliza swali alikuwa ni Aunt Ezekiel:
MWANDISHI:
Wasanii wengi wamekuwa na tabia ya kutengeneza skendo kwa kupiga
picha chafu ili watoke kwenye magazeti ya udaku na wakati mwingine
mtu anaweza akajipiga picha tena katika mazingira ya chumbani.....Cha
kushangaza kesho picha hizo utazikuta katika mitandao...Unadhani ni kwa
nini?
AUNT: Siwezi kukataa walakukubali, lakini stori nyingi ni zakutengeneza....
Sisi wasanii wa kike tunaonewa
sana.Sijawahi pongezwa hata siku moja kwa kazi nzuri
ninazozifanya.....Inamaana wanachokiona toka kwangu ni kukaa nusuuchi
tu?
Kuna wakati mwingine hutokea kweli mtu akapitiwa lakini sidhani kama nijambo lakukusudia.....
Kwa upande wangu nadhani naandamwa na skendo kutokana na umaarufu nilio nao.......
Umewahi kujiuliza ni kwa nini watu kama Amina, Asha, Mwajuma hawaandikwi?....Ni kwa sababu mimi ni Super star
Baada ya swli hilo, mwandishi wetu alihamia kwa SHILOLE
MWANDISHI:Mara
nyingi umekuwa ukikabiliwa naskendo za kubadili wanaume na kutembea
na watoto wadogo ambao si rika lako.....Yaani uki google jina la
shilole katika net unachokutananacho ni skendo tuu.....Hii imekaaje
Shilole?
SHILOLE: Kwa kweli hata mimi nashangaa sana....Kinachoandikwa na magazeti hakina ukweli ndani
yake.....
Nakumbuka kuna kipindi niliandikwa,"Shilole atoka na watoto wadogo".....Hiyo ilikuwa ni front page.
Kuja kufuatilia kilicho andikwa ndani hakiendani na Cover ya nje.Ndani walimaanisha kuwa siku hiyo nilifanya show na watoto wakacheza pamoja nami....
Nakumbuka kuna kipindi niliandikwa,"Shilole atoka na watoto wadogo".....Hiyo ilikuwa ni front page.
Kuja kufuatilia kilicho andikwa ndani hakiendani na Cover ya nje.Ndani walimaanisha kuwa siku hiyo nilifanya show na watoto wakacheza pamoja nami....
Lakini hata hivyo, ngoja niwe muwazi, wanaposema mimi ninatoka na watoto wadogo, ni nani aliyewaambia kuwa mimi ni mzee?
Hata mimi ni mtoto, bado ni kijana,wazee wanini sasa?
--------------------------------------------------------------------
HII NDO VIDEO YA INTERVIEW YA SHILOLE NA AUNT EZEKIEL ...IDOWNLOAD ILI UJIONEE
Post a Comment