Mtukutu Balotelli naye yumo |
WACHEZAJI watano wa Ligi Kuu ya England
wameingia kwenye orodha ya nyota 23 kuwania tuzo ya Mwanasoka Bora wa
Dunia wa mwaka wa FIFA, iitwayo Ballon D'Or, ndani yake Muingereza akiwa
mmoja tu.
Hao ni kutoka Manchester City, Sergio
Aguero, Mario Balotelli na Yaya Toure pamoja na Muingereza pekee, Wayne
Rooney na Mholanzi Robin Van Persie, wote wa Manchester United.
Didier Drogba, ambaye aliiwezesha
Chelsea kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya kabla ya kuhamia Shanghai
Shenhua ya China, pia ameorodheshwa.
ORODHA KAMILI YA WANAOWANIA BALLON D'OR
Sergio Agüero (Argentina & Manchester City)
Mario Balotelli (Italy & Manchester City)
Karim Benzema (France & Real Madrid)
Gianluigi Buffon (Italy & Juventus)
Sergio Busquets (Spain & Barcelona)
Iker Casillas (Spain & Real Madrid)
Didier Drogba (Ivory Coast, Chelsea & Shanghai Shenhua)
Radamel Falcao (Colombia & Atlético Madrid)
Zlatan Ibrahimović (Sweden, AC Milan & Paris St Germain)
Andrés Iniesta (Spain & Barcelona)
Lionel Messi (Argentina & Barcelona)
Manuel Neuer (Germany & Bayern Munich)
Neymar (Brazil & Santos)
Mesut Özil (Germany, Real Madrid)
Gerard Piqué (Spain & Barcelona)
Andrea Pirlo (Italy & Juventus)
Sergio Ramos (Spain & Real Madrid)
Cristiano Ronaldo (Portugal & Real Madrid)
Wayne Rooney (England & Manchester United)
Yaya Toure (Ivory Coast & Manchester City)
Robin van Persie (Holland, Arsenal & Manchester United)
Xabi Alonso (Spain & Real Madrid)
Xavi Hernández (Spain & Barcelona)
Mario Balotelli (Italy & Manchester City)
Karim Benzema (France & Real Madrid)
Gianluigi Buffon (Italy & Juventus)
Sergio Busquets (Spain & Barcelona)
Iker Casillas (Spain & Real Madrid)
Didier Drogba (Ivory Coast, Chelsea & Shanghai Shenhua)
Radamel Falcao (Colombia & Atlético Madrid)
Zlatan Ibrahimović (Sweden, AC Milan & Paris St Germain)
Andrés Iniesta (Spain & Barcelona)
Lionel Messi (Argentina & Barcelona)
Manuel Neuer (Germany & Bayern Munich)
Neymar (Brazil & Santos)
Mesut Özil (Germany, Real Madrid)
Gerard Piqué (Spain & Barcelona)
Andrea Pirlo (Italy & Juventus)
Sergio Ramos (Spain & Real Madrid)
Cristiano Ronaldo (Portugal & Real Madrid)
Wayne Rooney (England & Manchester United)
Yaya Toure (Ivory Coast & Manchester City)
Robin van Persie (Holland, Arsenal & Manchester United)
Xabi Alonso (Spain & Real Madrid)
Xavi Hernández (Spain & Barcelona)
Lionel
Messi amerodheshwa kwenye wachezaji wanaowania Ballon D'Or, wakati
tayari amekwishashinda tuzo Kiatu cha Dhahabu kwa kuwa mfungaji bora
Ulaya msimu uliopita
Messi alifunga mabao 50 katika ligi akiwa na Barcelona msimu uliopita ambayo ni rekodi Ulaya
Wayne Rooney wa Manchester United ni Muingereza pekee katika orodha ya wanaowania Ballon D'Or shortlist
Ronaldo naye yumo |
WASHINDI 10 WALIOPITA
Ballon D'Or ilikuwa tuzo ya Mwanasoka Bora Ulaya hadi mwaka 2010, ilipogeuzwa kuwa tuzo ya Mwanasoka Bora wa Mwaka wa FIFA
2011 - Lionel Messi (Barcelona)
2010 - Lionel Messi (Barcelona)
2009 - Lionel Messi (Barcelona)
2008 - Cristiano Ronaldo (Real Madrid)
2007 - Kaka (AC Milan)
2006 - Fabio Cannavaro (Real Madrid)
2005 - Ronaldinho (Barcelona)
2004 - Andriy Shevchenko (AC Milan)
2003 - Pavel Nedved (Juventus)
2002 - Ronaldo (Real Madrid)
2010 - Lionel Messi (Barcelona)
2009 - Lionel Messi (Barcelona)
2008 - Cristiano Ronaldo (Real Madrid)
2007 - Kaka (AC Milan)
2006 - Fabio Cannavaro (Real Madrid)
2005 - Ronaldinho (Barcelona)
2004 - Andriy Shevchenko (AC Milan)
2003 - Pavel Nedved (Juventus)
2002 - Ronaldo (Real Madrid)
Read more: http://www.dailymail.co.uk
Follow us: @MailOnline on Twitter | DailyMail on Facebook
Post a Comment