Wanafunzi wa Shule ya Msingi Ruhuji,
wakishangilia kwa furaha baada ya Kampuni ya Tigo na Taasisi ya Hassan
Maajar Trust kukabidhi msaada wa madawati 680 yenye thamani ya sh.
mili. 26 kwa ajili ya shule 17 mkoani Njombe. Hafla hiyo ilifanyika
katika shule hiyo mwishoni mwa wiki.
Post a Comment