Tino (katikati) akionesha cheti cha ubalozi wa watoto yatima mkoani Mbeya alichokabidhiwa ukumbini humo.
Mwakilishi
kutoka kampuni ya magari ya Subaru (kulia) akimkabidhi Tino funguo za
magari mawili ambayo kampuni hiyo imempatia kwa ajili ya kufanyia kazi
zake za filamu za action.
Raisi wa Shirikisho la Filamu Tanzania, Simon Mwakifwamba akizungumza jambo na wageni waalikwa (hawapo pichani).
Mgeni
rasmi, Mkurugenzi wa Maendeleo na Utamaduni nchini, Heman Mwansoko
akizungumza na wageni waalikwa (hawapo pichani). Kushoto ni katibu wa
Shirikisho la Filamu Tanzania, Wilson Makubi, kulia ni raisi wa
shirikisho hilo, Simon Mwakifwamba.
Wadau wakifuatilia uzinduzi.
Raisi Mwakifwamba (katikati) akiwa na baadhi ya waigizaji wa Bongo Movies.
USIKU wa kuamkia leo, mwigizaji mahiri Bongo, Hisani Muya ‘Tino’
alizindua filamu yake ya ‘action’ iitwayo C.I.D katika Ukumbi wa
Business Park Makumbusho ambapo mastaa kibao wa fani mbalimbali
walihudhuria kuinogesha.
PICHA/HABARI: ERICK EVARIST/GPL.
PICHA/HABARI: ERICK EVARIST/GPL.




Post a Comment