Warembo wa Redd's Miss Tanzania 2012 watoana jasho kwenye michezo mbalimbali


Warembo hao wakichuana katika mchezo wa wavu.

Warembo wanaowania taji la Redd's Miss Tanzania 2012 wakijiandaa kwa mchezo wa kukimbia kwenye magunia katika fukwe ya Bahari ya Hindi jana.
WAREMBO wanaoshiriki shindano la Redd's Miss Tanzania 2012 jana walishiriki kwenye michezo mbalimbali ikiwemo mchezo wa wavu katika fukwe ya Bahari ya Hindi kwenye mwendelezo wa maandalizi ya fainali ya Redd's Miss Tanzania itakayofanyika mwezi ujao.

Post a Comment

Previous Post Next Post