YANGA NA RUVU SHOOTING KATIKA PICHA

Jery Tegete akigombea mpira na beki wa Ruvu, Baraka Jaffari katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, Yanga ilishinda 3-2, ikitoka nyuma kwa 2-0. 

Tegete na Baraka Jaffari

Tegete akimpiga tobo beki wa Ruvu, Ibrahim Shaaban, kulia ni George Assey

Haruna Niyinzima akiteseka katikati ya viungo wa Ruvu

David Luhende akipambana na wachezaji wa Ruvu

Bao...Seif Abdallah akiinuka kushangilia, huku Yaw Berko akigalagala...hili lilikuwa bao la kwanza 

Juma Abdul aliyeruka juu kupiga mpira kichwa mbele ya mshambuliaji wa Ruvu, Abrahaman Mussa

Tegete na Baraka jaffari

Tegete na Baraka jaffari

Ruvu wakishangilia bao la pili

Niyonzima akimgeuza mchezaji wa Ruvu

Bao...Ruvu wamefunga

Ruvu baada ya kufunga  bao la pili

Yaw Berko akiruka bila mafanikio, mpira unatinga nyavuni 

Nurdin Bakari akikosa bao la wazi

Makocha wa Yanga, Brandts na Msaidizi wake, Minziro

Shamte Ally na Nizar Khalfan benchi

Athumani Iddi 'Chuji' na Hamisi Kiiza benchi 

Ruvu wakiomba dua kabla ya mechi

11 wa Yanga walioanza

11 wa Ruvu walioanza 

Kipa wa Ruvu Benjamin Haule akipangua shuti la mpira wa adhabu la Mbuyu Twite

Hamisi Kiiza akimghasi kipa Benjamin Haule

Kiiza akishughulika

Benjamin Haule akitibiwa na daktari wa Ruvu, Simon Sugule baada ya kuumia

David Luhende akidhibitiwa na beki wa Ruvu

Kavumbangtu chini ya ulinzi

Bao la mpira wa adhabu la Twite

Tegete akiondoka  na mpira baada ya Twite kufunga
Credit kwa:- Bin Zubeiry
Rashid Gumbo akienda chini baada ya kukwatuliwa na Ernest wa Ruvu

Post a Comment

Previous Post Next Post