AMWAGIWA TINDIKALI SEHEMU ZA SIRI NA GIRLFRIEND WAKE KISA WIVU WA MAPENZI

"Msichana mmoja anashikiliwa na polisi kwa kumjeruhi Boyfriend wake kwa kumwagia Acid baada ya mwanamke huyo kukuta message za mapenzi zilizokuwa zinatumwa na wanawake wengine katika simu ya Boyfriend wake, mwanamke huyo aligundua ujumbe wa maandishi uliokuwa unaonyesha kwamba Boyfriend wake huyo alikuwa akitoka kimpenzi na msichana mwingine.

Post a Comment

Previous Post Next Post