
AY akinyanyua tuzo yake juu, huku akitazamwa na swahiba wake Mwana FA
Kwa wale ambao walikuwa wakifuatilia kwa karibu, habari za msanii
Diamond kwa kipindi kirefu cha mwaka huu watapata kushangaa nini
kimetokea kwa kolabo yake na msanii J Martins ambayo amekuwa akiitangaza
mara kwa mara huko nyuma.
Well kwa sasa inaonekana msanii huyo kutoka Nigeria atafanya kazi na
msanii aliyepata tuzo ya video bora Afrika Mashariki kupitia Kolabo na
wasanii wa Kenya Sauti Sol, Ay na swahiba wake wa karibu Mwana FA.
Kwa mujibu wa tetesi za chinichini, mipango yote ya kolabo hiyo imeshaiva na pengine kazi hiyo ikakamilika siku si nyingi.
Well tusubiri na tuone yatakayojiri.
Kwa mujibu wa tetesi za chinichini, mipango yote ya kolabo hiyo imeshaiva na pengine kazi hiyo ikakamilika siku si nyingi.
Well tusubiri na tuone yatakayojiri.
Post a Comment