DJ CHOKA AWEKA WAZI JUU YA TATOO YAKE


Ni moja kati ya watu wenye umaarufu fulani hapa Tzee kwa kupitia kazi za wasanii mbalimbali katika media au pale mtu anapokuwa na kazi yake basi lazima ukutane na huyu mtu hata support kazi yako kwa kupitia blog yake sasa
Latest info ambayo tumeipata leo asubuhi kutoka katika ukurasa wake wa facebook ni kwamba ameamua kuweka wazi juu ya tatoo yake ebu kisome alichokia sasa hivi kupitia katika ukurasa wake na kuwaelewesha mashabiki wake kuhusu yeye na Professor Jay.

Post a Comment

Previous Post Next Post