KONGAMANO LA AZAKI ZA KIRAIA TANZANIA LIKIENDELEA KTK UKUMBI WA UBUNGO PLAZA SASA



Mshiriki  wa kondamano  hilo kutoka mkoani Iringa  Grace  Sanga akichangia  juu ya  katiba  mpya katika kongamano  la azaki za kiraia Tanzania kongamano  linaloendelea  ukumbi  wa Ubungo Plaza ,kubwa wanatazama wajibu  wa asasi za kiraia katika mchakato  wa katiba mpya ,kulia ni katibu  wa ISICO mkoani Iringa Raphael Mtitu. Picha na:- http://francisgodwin.blogspot.com

Post a Comment

Previous Post Next Post