Kumbi za starehe sasa ni Madanguro hapa Nchini



Kwa sasa hali imezidi kuwa mbaya katika kumbi nyingi za starehe nchini kutokana na vitendo vinavyo endelea katika kumbi hizo, ukifika kwenye kumbi nyingi za starehe usiku utagundua kwamba dada zetu wakisha fika katika kumbi hizo wanageuzwa vituko kama sio vihoja,hapo juu ni tukio lililo tokea katika ukumbi mmoja wapo katika jiji maarufu hapa nchini ambapo dada mmoja baada ya kuleva alijikuta akifanya mambo ya aibu mbele ya wasichana wenzake na wanaume walio kuwapo mahali hapo.

Je kwa hali hii maambukizo ya ugonjwa hatari wa ukuimwa yatapungua?

Post a Comment

Previous Post Next Post