KUWA WA KWANZA KUIONA BEHIND THE SCENE YA JOH MAKINI 'SIJUTI"


 Msanii wa Bongo Fleva kutoka A town City almaarufu kama Joh Makini  baada ya kuachia video yake mpya inayofahamika kwa jina la Sijuti,sasa leo director wa video hiyo anayefahamika kwa jina la Nisher amenitumia Behind the scene ya video hiyo.Ebu chukua time yako ya kushuhudia kile ambacho kimefanyika humo ndani.















Post a Comment

Previous Post Next Post