MADEE AFUNGUKA KUHUSIANA NA UJIO MPYA WA TIP TOP NA NGOMA YAO MPYA"RIZIKI"


Msanii wa Bongo Fleva almaarufu kama Madee anayetokea katika kundi la TipTop Connection.Baada ya kundi hilo kutamba na ngoma zao kali kama Kiboko yao,Bado Tunapanda,Goma la Manzese, na ngoma zingine kali sasa leo baada ya kuchonga naye

Latest info aliweza kuniambia kwamba wameshafanya video yao mpya ya Riziki na imeshatoka pia alimalizia kwa kusema kwamba sasa hivi TIPTOP CONNECTION wanahitaji kufanya mziki wao katika mapinduzi makubwa na kupelekea mashabiki wao wazidi kukubali kazi zao.@info by member TipTop connection.

Post a Comment

Previous Post Next Post