Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akitia saini maalum ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa Mpango wa miaka
minne wa ‘Kuona ni Kuamini’ maalum kwa ajili ya kuboresha afya ya macho
kwa watoto kwa Nchi za Kenya,
Uganda na Tanzania, uliodhaminiwa na Benki ya Standard Chartered,
uliofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam, leo Nov 20, 2012.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa uzinduzi wa Mpango wa miaka mine wa ‘Kuona ni Kuamini’ maalum kwa ajili ya kuboresha afya ya macho kwa watoto kwa Nchi za Kenya,
Uganda na Tanzania, uliodhaminiwa na Benki ya Standard Chartered,
uliofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam, leo
Nov 20, 2012.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa Daktari Bingwa wa (kulia) macho wa
Watoto, kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili, ‘Optometrist’, Judith
Mwenda, wakati Makamu alipokuwa
akitembelea katika Mabanda kujionea shughuli za upimaji macho kwa
watoto, wakati wa uzinduzi wa Mpango wa miaka mine wa ‘Kuona ni Kuamini’
maalum kwa ajili ya kuboresha afya ya macho kwa watoto kwa Nchi za Kenya,
Uganda na Tanzania, uliodhaminiwa na Benki ya Standard Chartered,
uliofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam, leo
Nov 20, 2012. Kushoto ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, TAMISEMI,
Agrey Manry, (wa tatu kushoto) ni Mtoto Abubakar Siaba Kaim, mkazi wa Keko Mwanga, akipimwa macho.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa Dkt. Paulina Mvella, wakati akimpima
mtoto, Brayan Paul (7) mkazi wa Kigamboni, wakati Makamu alipokuwa
akitembelea katika Mabanda kujionea
shughuli za upimaji macho kwa watoto, wakati wa uzinduzi wa Mpango wa
miaka mine wa ‘Kuona ni Kuamini’ maalum kwa ajili ya kuboresha afya ya
macho kwa watoto kwa Nchi za Kenya,
Uganda na Tanzania, uliodhaminiwa na Benki ya Standard Chartered,
uliofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam, leo
Nov 20, 2012. Wa pili kushoto ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu,
TAMISEMI, Agrey Manry.

Shughuli ya upimaji wa macho kwa watoto, ikiendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja, wakati wa uzinduzi wa mpango huo, leo.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Post a Comment