Kama wewe unapenda Hip Hop basi kwa namna moja au nyingine nikizungumzia Tamaduni muziki utakuwa unanielewa au sio sasa kitu ambacho ninahitaji kukupatia wewe shabiki wa Hip Hop au wewe Mtanzania ni kwamba leo nimekuandalia Mistari konde namaanisha mapande 20 barz kati ya Nikki Mbishi na Songa.!!!!! ebu chukua time yako ya kushuhudia kile ambacho walichokifanya humo ndani ni nomaa.!!!!!!Bila kumsahau Azma naye katishaaa!!!!!
Post a Comment